Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee, Ray Kigosi, Millard Ayo watajwa kuwania tuzo nchini Ghana

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ametajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards (APA) 2017.

WhatsApp-Image-2017-08-23-at-16.46.10

Vanessa Mdee ametajwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha msanii bora wa kike wa mwaka 2017/18 ambapo atachuana na wasanii wengine kama Yemi Alade kutoka Nigeria na wengine wengi.

BEST FEMALE ARTIST AFRICA

-ANGHAM (EGYPT)
-ASMAE SALIM (LIBYA)
-BECCA (GHANA)
-CINDY LE COEUR (CONGO)
-GLORIA MULIRO (KENYA)
-HOPE MASIKE (ZIMBABWE)
-LATIFAH (TUNISIA)
 -LIRA (SOUTH AFRICA)
-LYRA-AOKO (KENYA)
-NABYLA-MAAN (MOROCCO)
-NANCY AGA (SUDAN)
-SOUHILA BEN LACHHAB (ALGERIA)
-VANESSA MDEE (TANZANIA)
-YEMI ALADE (NIGERIA)
-ZERITU KEBDE (ETHIOPIA)
Watu wengine waliotangazwa kuwania tuzo hizo ni Muigizaji wa filamu, Ray Kigosi, Monalisa na King Majuto ambao wametajwa kwenye vipengele vya Muigizaji bora wa kiume, Muigizaji bora wa kike na mchekeshaji bora wa mwaka 2017 barani Afrika.

Wengine ni DJ Sinyorita na Millard Ayo ambao wametajwa kwenye vipengele vya DJ bora wa kike na bloga wa mwaka 2017.

BEST BLOGGER AFRICA 2017.

-ALIAA MAGDA ELMAHDY (EGYPT)

-AMEYAW DEBRAH (GHANA)

-DANIEL BERHANE (ETHIOPIA)

-GARETH PON (SOUTH AFRICA)

-KENYA BUZZ (KENYA)

-LINA BEN MHENNI (TUNISIA)

-LINDA IKEJA (NIGERIA)

-MAMA CONGO (CONGO)

-MILARD AYO (TANZANIA)

 

Ili kumpigia kura mtu wako unayetaka ashinde tuzo hizo piga kura yako kwa kubonyeza link hii -> www.theafricanprestigiousawards.com
Chanzo: bongo5.com