Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Valentine: Benzema atuma maua kwa Wanawake watatu tofauti

Karim Benzema V Benzema atuma maua kwa Wanawake watatu tofauti

Thu, 16 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Real Madrid na mshindi wa Ballon D’Or 2022, Kareem Benzema katika kusheherekea siku ya wapendanao (Valentine’s Day) Juzi Februari 14, 2023 alipeleka maua wanawake watatu (3) tofauti.

Mwanamke wa Kwanza ni mpenzi wake wa sasa Jiordyn Ozuna.

Wa pili ni Cora Gauthier, mpenzi wake wa zamani na mama wa mtoto wake wa kiume.

Na watatu ni Chloe Launey, mke wake wa kwanza na mama wa binti yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live