Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Wema Sepetu kaileta tamthilia yake mpya

4CC3D872 956C 4148 83FB A9C28E9AD219 660x400.jpeg VIDEO: Wema Sepetu kaileta tamthilia yake mpya

Thu, 30 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwigizaji staa wakike Bongo, Wema Sepetu leo July 30, 2020 ameitambulisha tamthilia yake mpya inayoitwa ‘Karma’ ambayo itakuwa ikiruka kwenye Chanel ya TV kila siku ya Jumamosi na Jumapili.

Wema amewaeleza waandishi kuwa hajaonekana kwenye tamthilia nyingi kama ilivyokuwa kwenye filamu sababu ni kutaka kutayarisha ya kwake itakayokuwa nzuri ambayo ndiyo hii aliyoitambulisha leo.

Hata hivyo amesisitiza kuwa baadhi ya kazi zake zilizokuwa zikionekana kwenye Wema App zitaendelea kuonekana huko lakini hizi tamthilia alizoanza kuigiza nazo zitaendelea kuruka kwenye TV kama ambavyo mikataba yake inavyosema.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

Chanzo: millardayo.com