Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Shakibi wa Zari afungasha virago, arudi zake Uganda

VIDEO: Shakibi Wa Zari Afungasha Virago, Arudi Zake Uganda VIDEO: Shakibi wa Zari afungasha virago, arudi zake Uganda

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: Mwananchi

liyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago na kuondoka katika nyumba waliyokuwa wakiishi, iliyopo Africa Kusini na kurudi nchini #Uganda.

Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na wawili hao kuachana huku kila mmoja akumu-unfollw mwenzake kupitia kurasa zao za Instagram.

Licha ya kuzuka stori mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii lakini hakuna yoyote kati yao ambaye amethibitisha kuachana kwao. #Zari na #Shakibi walifunga ndoa Oktoba 3, mwaka jana nchini South Africa.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: Mwananchi