Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VIDEO: Nyota wa Timu ya Taifa ya England akoswa na wimbo wa Diamond

Nyota Wa Timu Ya Taifa Ya England Akoswa Na Wimbo Wa Diamond Nyota wa Timu ya Taifa ya England akoswa na wimbo wa Diamond

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya England na ‘klabu’ ya Ettifaq kutoka Saudi Arabia, Jesse Lingard ameendelea kukoshwa na wimbo wa mwanamuziki #Diamond wa ‘Shuu’ aliomshirikisha #ChleyNkos.

Kupitia #Snapchat yake alionekana akiimba wimbo huo wakati akiwa kwenye mapumziko katika #hotel huku akionesha kukoshwa na vibe la wimbo huo.

Hii si mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kuskiliza wimbo huo miezi kadhaa iliyopita kupitia #Snapchart yake kwa mara ya kwanza ali-share wimbo huo akionesha kuukubali.

#Lingard katika historia yake ya 'soka' alishawahi kuchezea vilabu mbalimbali maarufu kama vile #ManchesterUnited, #NottinghamForest, #WestHamUnited.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live