Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: “Msiba huu ni mkubwa kwangu na ni pigo”- Diamond Platnumz

1897 A4 660x400

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 24, 2018 Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amewaongoza mashabiki wa WCB katika mazishi ya moja ya mashabiki wa kundi hilo aliyefariki kwa ajali ya gari Philly Nevvo.

Pamoja na Diamond kuwepo walikuepo baadhi ya mastaa wa WCB kama Harmonize, Maromboso na wafanya kazi WCB wote kwa pamoja wakimsindikiza Marehemu Nevvo lakini baada ya mazishi Diamond Platnumz alizungumza kwenye Exclusive Interview na kumuelezea marehemu..



Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza DIAMOND PLATNUMZ..

MSIBA WCB: Chanzo cha vifo vya Mashabiki wawili wa WCB kwa mpigo



MSIBA WCB: Mashabiki wawili wa WCB waliokufa siku moja Chalinze

Chanzo: millardayo.com