Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: MSANII UGANDA AMPIGIA MAGOTI SAIDA KAROLI KAFUNGUKA SABABU

974 Pjimage 2 660x400 TZW

Wed, 3 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msaanii wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli alikuwa ndo msanii pekee kutokea Tanzania aliyepata mualiko katika sherehe ya kufunga Mwaka nchini Uganda ambapo alitoa burudani na wasanii wa nchini humo na miongoni mwa wasanii waliokuwepo kwenye show hiyo ni pamoja na Hanson Baliruno.

Hanson Baliruno ni msanii kutoka Uganda ambaye alimpigia magoti Saida Karoli wakati wa show na kuelezea jinsi anavyo mkubali mkongwe huyo wa nyimbo za asili, Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Baliruno akielezea kwanini alimpigia magoti Saida…

Shangwe alilolipata SAIDA KAROLI kwenye kufunga mwaka UGANDA

Balaa la Queen Darleen Maisha Club, Lavalava amepanda peku kwenye stage

Chanzo: millardayo.com