Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VIDEO: Kagame ndiye Rais wa kwanza kukutana naye - Rema

#VIDEO: Kagame Ndiye Rais Wa Kwanza Kukutana Naye   Rema #VIDEO: Kagame ndiye Rais wa kwanza kukutana naye - Rema

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuhudhuria katika Tuzo za Trace nchini Rwanda Mwimbaji wa Afrobeat kutoka Nigeria Rema alikutana na rais wa nchi hiyo Paul Kagame na kuweka wazi kuwa ndio rais wa kwanza kukutana naye.

“Kiukweli huyu ndio rais wa kwanza kukutana nae katika maisha yangu, sijawahi hata kuonana na rais wangu”

#Rema alifanikiwa kuondoka na tuzo mbili moja ikiwa ni ya Msanii bora wa Afrika Kimataifa na ya pili ya wimbo bora wa mwaka ‘Calm Down’.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live