Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: JPM arudisha tabasamu la Wastara, ampa MILIONI 15

2006 W6 660x400

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kwa siku kadhaa Mwigizaji maarufu wa Tanzania aitwae Wastara alionekana kwenye vyombo mbalimbali vya habari akiomba msaada watu wamchangie MILIONI 13 ili akatibiwe mguu wake India.

Baada ya kuonekana kukata tamaa kutokana na zoezi hilo kuchukua muda mrefu bila mafanikio makubwa, tabasamu la Wastara limerejeshwa na Rais Magufuli na Mke wake Mama Janeth baada ya kutoa shilingi MILIONI 15 kiwango ambacho ni zaidi ya kile kilichohitajika.

Pamoja na JPM kutoa pesa hizo, Wasaidizi wa Rais nao wameliongeza tabasamu la Wastara kwa kumpatia Shilingi milioni 1.9 ambazo waliamua kujipigapiga mifukoni harakaharaka wakati walipotumwa na Rais kuzipeleka hizo milioni 15

BREAKING: TIDO MHANDO ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com