Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

VIDEO:Harusi ya Majizo na Mwigizaji Lulu, hatimae imetimia wafunga ndoa kanisani

Video Archive
Wed, 17 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

NI headlines za mmiliki wa kituo cha Radio Tanzania E FM & E TV,   Bw.Francis a.k.a Majizo ambae kupitia ukurasa wa akaunti ya instagram ya kituo chake EFM  kimethibitisha ndoa yake na mpenzi wake mwigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu.

NI headlines za mmiliki wa kituo cha Radio Tanzania E FM & E TV,   Bw.Francis a.k.a Majizo ambae kupitia ukurasa wa akaunti ya instagram ya kituo chake EFM  kimethibitisha ndoa yake na mpenzi wake mwigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu. Bonyeza play kushuhudia video na picha namna ndoa hiyo ilivyofungwa kanisa, pia endelea kukaa karibu na Ayo TV & Millardayo.com tunaendelea kwatafuta wawili hao ili wazungumze chochote kuhusu ndoa yao.

Chanzo: millardayo.com