Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VIDEO: Harmonize alivyotaka kuzichapa kavukavu

Harmonize Tz 1699269986130.jpeg #VIDEO: Harmonize alivyotaka kuzichapa kavukavu

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inadaiwa kuwa mwanamuziki wa bongo Fleva Harmonize ataka kuzichapa na walinzi wa uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa baada ya walinzi hao kukataa msanii huyo asiingie na walinzi (Bodyguard) wake ndani ya uwanja.

Harmonize alifika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuangalia ‘mechi’ ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 siku ya jana ambapo Taifa Stars ilipoteza mchezo huo dhidi ya Morroco kwa kupokea kichapo cha mabao 2-0.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live