Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VIDEO: Dulla Makabila aonesha hela 'zimejaa hadi zina pa kuweka mabegi'

Dulla Makabilaaaa #VIDEO: Dulla Makabila aonesha hela 'zimejaa hadi zina pa kuweka mabegi'

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila siku za hivi karibuni amekua akitawatambia watu na kudai anapesa nyingi.

Makabila ameendelea kutamba na pesa hizo ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post video huku akidai kuwa amekosa sehemu ya kuweka mabegi kwani ‘buti’ la gari lake limejaa pesa.

View this post on Instagram

A post shared by MAKABILA???????? (@dullamakabila)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live