Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya mbinoni kumtafutia Krish mdogo wake

UWOYA NA MWANAYE Uwoya mbinoni kumtafutia Krish mdogo wake

Mon, 13 Mar 2023 Chanzo: Bbc

Hivi ndivyo mtoto wa muigizaji wa filamu Tanzania Irene Uwoya, Krish anavyotamani kupata mdogo wake kutoka kwa mama yake mpaka analia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Uwoya ameweka video hiyo inayomuonyesha Krish akiwa analia na kuandika;

"Usijali Krish wangu soon utapata mdogo wako usinune".

Huwenda mrembo huyo kweli yupo kwenye mpango wa kupata mtoto mwingine kwa sasa.

Chanzo: Bbc