Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya kugharamia harusi ya Kajala

Uwoya Kajala Harmo Muigizaji Irene Uwoya

Sat, 18 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Irene Uwoya, ametamba kuwa kutokana na umaarufu wa rafiki yake Kajala Masanja, siku akiolewa atamgharamia mavazi mwanzo hadi mwisho wa shughuli.

Uwoya amefunguka hayo mara baada ya kukabidhiwa ubalozi wa duka la mavazi ya maharusi lilipo Sinza jijini Dar.

"Kajala yule ni staa mkubwa sana, nitamgharamia kila kitu siku ya harusi yake kuanzia mwanzo mpaka mwisho nitasimamia shoo," alisema Uwoya.

Kajala amerejesha penzi mototo kwa Harmonize ambaye waliachana kwa muda mrefu na sasa wawili hao huwenda wakaanza kuifikiria ndoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live