Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya kafunguka kuhusu mahusiano yake mapya

Fgfgfgf 660x400 Uwoya kafunguka kuhusu mahusiano yake mapya

Thu, 17 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Usiku wa June 13, 2021 mwigizaji Irene Uwoya alimfanyia mtoto wake party ya kusherehekea sakramente ya kwanza ya mtoto wake ambapo alialika watu wengi wakiwemo maarufu, baada ya shughuli hiyo alikutana na waandishi wa habari kuzungumza machache, miongoni aliyoyazungumza ni kuhusu Mtoto wake pamoja na mahusiano yake mapya.

Usiku wa June 13, 2021 mwigizaji Irene Uwoya alimfanyia mtoto wake party ya kusherehekea sakramente ya kwanza ya mtoto wake ambapo alialika watu wengi wakiwemo maarufu, baada ya shughuli hiyo alikutana na waandishi wa habari kuzungumza machache, miongoni aliyoyazungumza ni kuhusu Mtoto wake pamoja na mahusiano yake mapya. ‘Mtamuona tu itakapofika wakati sahihi na mwanangu Krish anamtambua ila nashukuru kumaliza hili la kwanza la mtoto wangu na ningependa kuwashukuru watu wote walikuja leo kwani kitu alichopokea Krish ni kikubwa mno’- Irene Uwoya

Chanzo: millardayo.com