Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya awatega mashabiki wake na Challenge ya Mil. 20

Ireneuwoya8 284815578 1208784399940606 6698401308714093280 N Muigizaji Irene Uwoya

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Irene Uwoya; ni mwanamama wa Bongo Movies na mjasiriamali ambaye amekuwa akiwapa chalenji mashabiki wake ikiwemo ile ya kutotumia siku za wikiendi kufua nguo na badala yake watafute pesa kisha kutokwenda kazini Jumatatu kwa kuwa ni siku ya mapumziko. Safari hii amekuwa na nyingine kali ambayo kila mtu anasema lake. Uwoya amewauliza mashabiki wake; “Unaweza kuchoma moto cheti cha form four kwa milioni 20???” Hata hivyo mmoja wa mashabiki hao ametoa kali kwa kumuambia; “Mna mitego nyie…haya mpo Dar sehemu gani?”

Chanzo: Tanzania