Menu ›
Burudani
Thu, 16 Nov 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Irene Uwoya amevunja ukimya na kueleza kuwa jana ilikuwa ni siku ngumu sana katika maisha yake huku aki-posti picha ya marehemu mumewe mchezaji wa Rwanda, Hamad Ndikumana.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Uwoya ame-share picha hiyo iliyoambapana na ujumbe ukieleza kuwa jana ni siku ngumu sana kwake kwa sababu ndiyo siku marehemu mumewe na mzazi mwezie amefariki.
Irene Uwoya alitamba kupitia filamu zake mbalimbali ikiwemo Olema, ‘Off side’, ‘Wake up’, ‘Bei kali’ na nyinginezo.
Ikumbukwe kuwa Marehemu Hamad Ndikumana alifariki Novemba 15 mwaka 2017.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live