Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya aitamani tena ndoa 'nikiolewa tena kuna ubaya?'

UWOYA IRENE Uwoya aitamani tena ndoa 'nikiolewa tena kuna ubaya?'

Tue, 28 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Filamu Bongo, Irene Uwoya ameonekana kuwa anatamani tena kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Hilo limejidhihirisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameuliza kama kuna ubaya endapo yeye ataingia tena kwenye ndoa.

"Kwani nikiolewa tena Kuna ubaya?"

Uwoya aliwahi kuolewa na aliyekuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Rwanda marehemu Hamadi Ndikumana lakini pia msanii Dogo Janja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live