Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya aanika kinachomtesa kwenye mapenzi

Uwoya One Twooo Irene Uwoya

Fri, 30 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Filamu Irene Uwoya ‘Uwoya’ amesema kuwa, anaweza kulia pale ambapo akishindwa kuelewana na mpenzi wake.

Akistorisha mwanamama huyo amesema kuwa, kwenye vitu ambavyo anaviheshimu; moja kati ya hivyo ni uhusiano wake wa kimapenzi.

“Napenda sana kuiheshim pesa ila kwangu kubwa zaidi ninachokiheshimu ni mahusiano yangu ninaweza kulia pale ambapo ninashindwa kuelewana na mpenzi wangu.

“Namheshimu sana na ninampenda hivyo tukitokea kugombana inanikata stimu kabisa yaani ninakuwa na huzuni isiyokuwa na kifani,” alisema Uwoya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live