Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya: Sina biashara wala nyumba, mimi ndo staa tajiri zaidi Bongo

Uwoya Mrembo Uwoya: Sina biashara wala nyumba, mimi ndo staa tajiri zaidi Bongo

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji mkongwe wa filamu za Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa yeye ndiye staa wa kike mwenye pesa ndefu zaidi nchini Tanzania kuliko msanii yeyote yule unayemjua wewe Bongo.

Uwoya ambaye hivi karibuni ameachia filamu yake mpya ya OLEMA anasifika kwa kula bata na kuishi maisha ya kifahari kuliko staa yoyote nchini.

"Mimi ndiye staa wa kike tajiri zaidi Tanzania, nimevunja record, natumia shilingi milioni 5 kwa siku, sina mradi wala biashara yoyote hata nyumba sina, nimepanga," amesema Irene Uwoya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live