Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya: Bata linaendelea

Uwoya One Twooo Uwoya: Bata linaendelea

Tue, 9 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Irene Uwoya; ni supastaa wa Bongo Movies ambaye amekuwa mwathirika mwingine wa kusambaa kwa video zake za ngono (connections).

Hata hivyo, licha ya kudhalilishwa na kugeuka mada kuu hadi kwa watu wenye heshima zao, Uwoya anasema hajali wala nini na hajibu chochote badala yake bata ni aluta continua; yaani linaendelea kama kawaida.

Taarifa ikufikie tu kwamba, sasa Uwoya awamu hii ametangaza kwenda nchini Mexico kuendeleza bata lake la kufa mtu.

Uwoya anasema kuwa, pamoja na yote, lakini kula ni muhimu na anaamini kwamba yeye ni wa juu.

Hata hivyo, watu wengi wamemtia moyo kwa majanga yaliyomkuta, lakini iwe somo kwa wanawake wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live