Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Uwezo wa ajabu mtu mzima anaongea sauti ya kitoto

Maxresdefault 40 660x400 Uwezo wa ajabu mtu mzima anaongea sauti ya kitoto

Wed, 10 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutana na Kijana Leward Mponda ambaye ana kipaji cha kubadilisha sauti yake ya utu uzima na kuongea kama mtoto mdogo, tumepiga nae stori ili kukifahamu kipaji chake.

Kutana na Kijana Leward Mponda ambaye ana kipaji cha kubadilisha sauti yake ya utu uzima na kuongea kama mtoto mdogo, tumepiga nae stori ili kukifahamu kipaji chake. Mponda anasema aligundua uwezo wake wakati alipoona Watoto wanakula pilau nae akataka kula ili kujichanganya akajikuta anongea kama mtoto “Nilikua kwa Bibi nachunga ng’ombe nikarudi kutoka kuchunga ng’ombe nikakuta Watoto wanakula pilau, nikawaambia watoto na mimi naomba kula pilau na nyie, watoto walikimbia kisa sauti yangu niliyobadilisha, pilau ilinifanya nijaribu kuongea kama wao ili nile ila nikajikuta napatia”.

Chanzo: millardayo.com