Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utoaji wa tuzo za Grammy 2022 zaahirishwa, sababu imetolewa

Rererer 660x400.jpeg Utoaji wa tuzo za Grammy 2022 zaahirishwa, sababu imetolewa

Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kila mwanzo mwa mwaka ufanyika utoaji wa tuzo za Grammy sasa kwa mwaka huu imekuwa tofauti ambapo waandaji wa tuzo hizo wameweka wazi kutokuwepo kwa hafla hiyo.

Waandaji wa tuzo hizo wameeleza sababu za kutokuwepo kwa utoaji wa tuzo hizo ni kutokana kwa tishio la wimbi la ugonjwa wa Covid 19  kirusi kiitwacho Omicron.

Huu unakuwa ni mwaka wa pili mfululizo kwa tuzo hizo kuahirishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live