Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Usimdharau pengine kesho yake ikawa ndio usalama wako”- Dogo Janja

1274 Sequence 01.Still033 TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Ni mwezi mmoja umepita tokea Papii Kocha na baba yake Babu Seya waachiwe huru na kuona wakifanya baadhi ya shows na ngoma zao pendwa za zamani ingawa wameonekana studio wakiandaa kazi zao mpya ambazo bado hazijatoka.



Maswali yamekuwa mengi kwa baadhi ya mashabiki baada ya Dogo Janja kupost picha akiwa na Babu Seya pamoja na wanae na kuandika caption inayosema Haijalishi mtu ana hali gani leo usimdharau pengine kesho yake ikawa ndio usalama wako…. #BabuSeya #PapiiKocha” 

Je tutegemee kollabo kati ya Dogo Janja, Papi Kocha na Babu Seya? Majibu utayapata hapahapa kupitia Ayo Tv na Millardayo.com.



Video iliyomnasa Diamond akiongea Harusini kwa Shilole “Shilole chagua unachotaka”

Chanzo: millardayo.com