Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ushirikina wa Lulu Diva kumbe ni kiki

Ushirikina Wa Lulu Diva Kumbe Ni Kiki.jpeg Ushirikina wa Lulu Diva kumbe ni kiki

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kusambaa kwa Voice note za Msanii Lulu Diva akizungumza mtu anaedaiwa kuwa Mganga akimwambia kuwa anataka apate show na madili huku akimtaja Nandy imefichuka kumbe ilikuwa ni kiki.

Baada ya kusambaa kwa Voice note za Msanii Lulu Diva akizungumza mtu anaedaiwa kuwa Mganga akimwambia kuwa anataka apate show na madili huku akimtaja Nandy imefichuka kumbe ilikuwa ni kiki. Sasa wawili hao wameachia wimbo wa pamoja, Wimbo huo unaitwa Mtaalamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live