Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usher Rymond aachia picha za harusi yake

Usher Rymond Aachia Picha Zao Za Harusi Usher Rymond aachia picha za harusi yake

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Usher kudaiwa kufunga ndoa, hatimaye mwanamuziki huyo amelithibitisha hilo kwa ku-posti picha zake za harusi akiwa na mkewe Jennife Goicoechea.

Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Usher kudaiwa kufunga ndoa, hatimaye mwanamuziki huyo amelithibitisha hilo kwa ku-posti picha zake za harusi akiwa na mkewe Jennife Goicoechea. Usher kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha hizo huku akiweka wazi kuwa kweli alifunga ndoa Februari, 11 mwaka huu, ambapo ndoa hiyo aliifunga masaa machache baada ya kumaliza kutumbuiza katika fainali za ‘Super Bowl’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live