Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usher Raymond na mpenzi wake wafunga ndoa

Usher Raymond Na Mpenzi Wake Wafunga Ndoa Usher Raymond na mpenzi wake wafunga ndoa

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa TMZ, staa wa muziki Usher Raymond na mpenzi wake wa muda mrefu Jennifer Goicoechea walifunga ndoa siku ya Jumapili, ndoa hiyo ilisimamiwa na Mchungaji Ronald Joseph Pokrywka.

Kwa mujibu wa TMZ, staa wa muziki Usher Raymond na mpenzi wake wa muda mrefu Jennifer Goicoechea walifunga ndoa siku ya Jumapili, ndoa hiyo ilisimamiwa na Mchungaji Ronald Joseph Pokrywka. Inasemekana wanandoa hao walianza mahusiano Mwaka 2019 na wamebarikiwa kupata watoto wawili pamoja!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live