Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usher Raymond kutumbuiza tamasha la Super Bowl

Usher Raymond Usher Raymond kutumbuiza tamasha la Super Bowl

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa R&B na Mshindi wa tuzo za Grammy, Usher Raymond anatarajiwa kutumbuiza katika Mapumziko ya tamasha la Super Bowl katika Uwanja wa Allegiant huko Las Vegas Februari 11, 2024 ambapo ameahidi burudani ambayo haijawahi kushuhudiwa Nchini humo

Ikumbukwe kuwa onesho la Rihanna la Half Time Show la Februari 12, 2023 liliweka rekodi kwa kutazamwa na watu Milioni 121 likivunja rekodi ya onesho la Katy Perry la mwaka 2015

Vipi Mdau, unadhani Usher anaweza kuvunja rekodi ya Riri?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live