Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ushauri wa Wakazi kwa Mansu_Li

1945 Z12 1 TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Mansu_Li amesema ana mpango wa kuja na albamu ‘The Best of Mansu_Li’.



Rapper huyo amesema amemua kufanya hivyo kutokana na ushauri aliopatiwa na watu wengi akiwemo Wakazi, pia kutokana na albamu yake ‘Kina Kirefu’ kutofikia watu wengi.

“Kwanza pongeza kwa Wakazi ambye alinipa hilo wazo na nimelipokea kwa mikono yote miwili na ninalifanyia kazi,” amesema Mansu_Li.

“Kwa hiyo natoa The Best of Mansu_Li kwa sababu Kina Kirefu kwa kweli haikufika mbali na kufikia watu, mpaka kesho nakutana na watu na kuniulizia albamu ya Kina Kirefu,” amesisitiza.

Chanzo: bongo5.com