Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Unabeba mimba dharau anakufanyia mke wa nje anakuonesha kiukweli inauma” Gigy Money

2635 G P 660x400 TZW

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 5,2018 story ambayo imechukua headlines katika mitandao ya kijamii ni hii ya msanii kutoka Bongo flevani Gigy Money ambaye caption katika instagram page yake imezua maswali kwa mashabiki na kuleta utata.



Gigy Money kwa sasa ni mjamzito na anategemea kupata mtoto hivi karibuni na amekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa Choice Fm maarufu kama Mo J kwa kipindi kirefu sasa.



Kupitia instagram page yake Gigy Money ameandika caption  yenye maneno mazito inayosemekana kuwa anaweza akawa ameumizwa katika mapenzi ikiwa bado ni mjamzito na ndio maana akaamua kuweka wazi kupitia instagram  account yake.



“Kiukweli leo nina stress sana na ndio mana nimeona bora niseme kwani nachokiamini mm sio peke angu ninayo yapitia haya kuna muda unaweza ukakufuru mungu kwa maneno ambayo kesho na kesho kutwa huwezi kuyarudisha kinywani”

“Katika makosa ambayo najua nimeyafanya nikupenda lakini kupenda sio dhambi nimepitia mengi sana kwenye Mapenzi kiasi cha kufikia kupungua kimwili hakuna kitu kibaya na kigumu kama kumuaminisha mtu unampenda unaweka nguvu na jitihada zako katika mapenzi”

“Kuna muda unawaza sijui niachie ngazi kwani unaempenda yawezekana anampenda mtu mwingine na anaekupenda humpendi hata kidogo

Chanzo: millardayo.com