Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Umesikia kuhusu kifo cha Wastara? Ukweli uko hivi..!

Wastara Juma Sijafa Umesikia kuhusu kifo cha Wastara? Ukweli uko hivi

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji Mkongwe wa Bongo Movie Wastara Juma kupitia ukurasa wake wa Instagram amekanusha taarifa za kifo chake ambapo kuanzia siku ya jana baadhi ya kurasa mbalimbali zilikuwa zikichapisha habari kuwa Mwigizaji huyo amefariki.

Wastara amefunguka kuwa bado yupo hai hivyo watu wapuuze taarifa hizo.

Ikumbukwe hivi karibuni Mwigizaji huyo amekuwa akieleza kwamba kwa maumivu na shida anazopitia anatamani afariki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live