Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulimmisi Mainda? Huyu hapa anafungukia ndoa, watoto!

Ulimisi Mainda Ulimmisi Mainda? Huyu hapa anafungukia ndoa, watoto!

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: Rick

Huwezi kuikamilisha historia ya waigizaji Bongo bila kutaja jina la mrembo Mainda, huyu alikuwa alama ya filamu nchini lakini ghafla alipotea kwa miaka mingi sasa!

Mainda ameonekana kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao iliyofanyika katika ukumbi wa Karemjee jijini Dar ambapo kama kawaida, waandishi wakampa kipaza sauti.

"Nilipotea kwa mipango yangu tu binafsi na si kwamba ndoa au familia. Sijaolewa na sina watoto," alisema Mainda.

Alipoulizwa kuhusu umri kusogea na kwamba ana mpango gani wa kuolewa, Mainda alisema wakati sahihi bado haujafika.

Chanzo: Rick