Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Ukiwa na roho kama ya Alikiba kufanikiwa ni mapema sana’ – H.Baba

2193 88

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Muimbaji H. Baba amefunguka ya moyoni kuhusu msanii Alikiba ambapo ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram na kusema kila mtu akiwa na roho kama ya Alikiba basi atafanikiwa mapema kwani Alikiba ni mtu wa watu anajitambua na anafahamu nini Watanzania wanataka..

H. Baba ambaye amepost picha akiwa na Alikiba kisha kuandika..>>>>“#Ukiwa na roho kama ya @officialalikiba #kufanikiwa ni mapema sana ila ukiwa na roho mbaya utakuwa muongo maisha yako yote mpaka mwisho wako #king ni mtu wa watu anajitambua.

“Anajielewa anafahamu nini Watanzania wanataka #Nini mashabiki zake wanataka #Maisha halisi KIBA HALISI #Bigup sana @officialalikiba pamoja na TEAM NZIMA YA WANAOMKUBALI #KING KIBA SALUTE.” – H. baba



ALIKIBA KAZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA CHATO MPAKA KUKUTANA NA MAMA JPM



EXCLUSIVE: Diamond Kafunguka kolabo na Alikiba

Chanzo: millardayo.com