Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ukinipenda nakupa joto - Gigy Money

Gigy Money 2023 Ukinipenda nakupa joto - Gigy Money

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo maarufu mitandaoni na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' amtoa hisia zake kuelezea jinsi yeye alivyo.

Kupitia Insta Story, Gigy ametupia ujumbe huo unaomuelezea yeye ni nani;

"Ukini treat kama princess na mimi nitaku treat kama prince... ila sasa ukini treat kama game nitakufundisha jinsi ya kucheza na nitakuonesha linavyochezwa ilo game.

"Yani mimi ni kama moto ukinipenda..nitakupa joto, ukinijali nakupa chakula cha moto na kitamu...yani vitu warm, ila sasa ukinitibua mimi moto wangu unakulipua dakika 0 tu, yani nakulipua unabaki majivu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live