Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ukinifurahisha nakuchora tattoo - Harmonize

Harmonize Tz 1699269986130.jpeg Ukinifurahisha nakuchora tattoo - Harmonize

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amedai kuwa mtu akimfurahisha anamchora tattoo na endapo akimkasirisha basi anafuta tattoo hiyo, Konde Boy ameyasema hayo baada kuonekana amefuta tattoo ya ‘bosi’ wake wa zamani #DiamondPlatnumz.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amedai kuwa mtu akimfurahisha anamchora tattoo na endapo akimkasirisha basi anafuta tattoo hiyo, Konde Boy ameyasema hayo baada kuonekana amefuta tattoo ya ‘bosi’ wake wa zamani #DiamondPlatnumz. Akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kuchora tattoo kwake ni jambo rahisi kwani ni utamaduni wa kabila lake na mtu akimfurahisha anamchora tattoo akimkasirisha anakufuta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live