Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ukibebwa na Diamond lazima utoboe - Baba Levo

Baba Levo Na Diamond New Ukibebwa na Diamond lazima utoboe - Baba Levo

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Baba Levo amefunguka akidai kuwa kupitia Diamond unaweza ukafanya mambo makubwa, yeye humuita powerful kutokana na uwezo wake katika soko la muziki nchini.

Ameyazungumza hayo kwa kusema Diamond Platnumz anaweza kufanya vitu ambavyo wengine wanasema havitawezekana na vinawezekana kwake, kwa hiyo akikupa mgongo lazima ufanye vitu vikubwa na uonekane.

Hata hivo, Baba Levo amedai kwa mtu yeyote anayetaka kufanya naye show lazima awe na milioni 10 bila hivyo hawezi kukubali kufanya show.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live