Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujumbe wa Jux kwa Vanessa wakiwa pamoja Kenya

864 Jux1 660x400 TZW

Mon, 1 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kuelekea kumaliza mwaka 2017 zimesalia Saa chache mtu wangu na kila mtu amekuwa akiongea kile anachojisikia kwa mtu ambaye yupo karibu nae, sasa mkali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Utaniua’ amefunguka  maneno  kwa ajili mpenzi wake Vanessa Mdee.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amesema kuwa katika mwaka 2017 Vanessa amepambana sana na kufanya kazi kubwa mno katika maisha yake.

Jux na Vanessa kwa sasa wapo nchini Kenya ambapo leo Vanessa Mdee anategemea kufanya show +254 Kenya kwa President na Uhuru Kenyatta na huu ndiyo ujumbe wa Jux kwa Vanessa

“Umepambana sana mwaka huu bby. Am so proud of what you have done pumzika Leo Kesho tukaweke historia nyingine,” – Jux

Umepambana sana mwaka huu bby. Am so proud of what you have done pumzika Leo Kesho tukaweke historia nyingine #diani #happyholidays #myqueen @leopardbeachresort

A post shared by Juma_jux (@juma_jux) on Dec 30, 2017 at 12:16pm PST

VANESSA “NILIANGALIA SIMU YA JUX KAMFOLLOW DEMU MKALI NIKAMWAMBIA UNFOLLOW” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com