Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujio wa Nako 2 Nako na zawadi hii mkononi

2228 26224347 368236720316792 3313595860461289472 N TZW

Tue, 30 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya kuachia ngoma ‘Hardcore’ ambayo inafanya vizuri kwa sasa, kundi la muziki wa hip hop Bongo, Nako 2 Nako linakuja na EP inayokwenda kwa jina ‘Mtaa Unachotaka’

Member wa kundi hilo, G Nako ameiambia Bongo5 kuwa EP hiyo itakuwa na ngoma zipatazo sita zikiwa zimetayarishwa na maproduza wawili tofauti.

Maprodyuza waliohusika katika EP hiyo ni DX kutoka Arusha pamoja na Cjamoker, EP hiyo itatoka rasmi February 5 mwaka huu ila kinachofanyika sasa ni pre-order.

G Nako ameongeza kuwa mara baada ya kutoa video ya ngoma ‘Hard core’ member wote Nako 2 Nako wapo location kushoot video nyingine kutoka katika EP hiyo.

Chanzo: bongo5.com