Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujio mpya wa Marioo na The Kid You know

Marioo Wauwe 1 1080x640 Msanii wa Bongo Fleva, Marioo

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: Dar24

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Marioo ameitambulisha rasmi kwa mashabiki wake kasha maalum la album yake mpya itakayokwenda kwa jina la ‘The Kid You know’.

Marioo, pia amearifu kuwa amewaandalia mashabiki wake zaidi ya zawadi kwa ajili ya kufurahia uwepo wake na mchango mkubwa ambao amekuwa akipatiwa tangu ameingia rasmi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva.

Macho na masikio ya mashabiki wa nyota huyo, yako katika kusubiri kwa hamu kusikia ni aina gani ya mirindimo itakayopatika kwenye album hiyo, ambayo siku rasmi ya kuachiwa kwake bado haijatangazwa.

Chanzo: Dar24