Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ujerumani yahalalisha Matumizi ya Bangi

Ujerumani Ganja Ujerumani yahalalisha Matumizi ya Bangi

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya juzi, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 nyumbani.

Ruhusa hiyo ya uvutaji wa bangi katika maeneo ya Umma inatarajiwa kuanza Aprili 1, 2024, huku watakaoruhusiwa ni wale walitimiza miaka 18 na kuendelea.

Kwa sheria hiyo, Ujerumani imekuwa nchi ya tisa kuhalalisha bangi, ikifungua fursa mpya za biashara kwa makampuni ya bangi ya Canada na Marekani, ambayo bado yanasubiri kuhalalisha bangi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live