Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Udanganyifu wawaweka matatani Lil Wayne, Post Malone

Lil X Malone Udanganyifu wawaweka matatani Lil Wayne, Post Malone

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya kulevya.

Serikali nchini humo kupitia shirika la ‘Business Insider’ iliwakopesha Wayne pamoja na Malone kiasi cha dola 9 milioni ili kuwezesha kufanikisha mradi huo, lakini mpaka kufikia sasa hakuna ripoti yoyote ya mafunzo.

Malone na Wayne walichukua mkopo huo katika kipindi cha janga la Corona, na sasa tayari wamefunguliwa kesi ya udanganyifu na‘Business Insider’ kesi ambayo inatarajiwa kusikilizwa siku zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live