Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchunguzi kufanyika kifo cha shabiki kwenye shoo

Uchunguzi Kufanyika Kifo Cha Shabiki Kwenye Shoo Uchunguzi kufanyika kifo cha shabiki kwenye shoo

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Polisi nchini Brazil wameripotiwa kufungua uchunguzi dhidi ya waandaji wa tamasha la siku ya Ijumaa la Msanii Taylor Swift lililosababisha kifo cha shabiki mmoja.

Polisi nchini Brazil wameripotiwa kufungua uchunguzi dhidi ya waandaji wa tamasha la siku ya Ijumaa la Msanii Taylor Swift lililosababisha kifo cha shabiki mmoja. Mwakilishi wa Idara ya Polisi ya Kiraia ya Riode Janeiro alisema walianzisha uchunguzi kuhusu Time4Fun, kampuni iliyopanga tukio hilo huko Estádio Olímpico Nilton Santos mnamo Novemba 17, kulingana na NBC News.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live