Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTANI: “Tafa dada usinikaribishie Shetani yakantokea maskioni”-Diamond

456 DSC 0747.MOV.Still027 660x400 TZW

Thu, 21 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

December 20,2017 msanii kutokea WCB Rayvanny ameachia video yake ya Makulusa aliyowashirikisha wakali kutokea Afrika Kusini akiwemo Dj Maphorisa na Dj Buckz na hivyo wimbo huo kupata mapokezi mazuri na kupendwa kutokana na style yake ya uchezaji.

 

Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa waliopenda style ya uchezaji iliyotumika kwenye video ya Makulusa na amepost video akicheza limbo huo na baadae kupost video ya msichana akicheza style hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram na caption akaandika hive.

 “Tafa Dada usinikaribishie Shetani kwa Mapande yako ya Kucheza….Nikayakoromola Mapya…Yakantokea Maskioni badala ya Puani…. Ushindwe na Ulegee?….. jamani YELA? YELA? sema YEEEELAA!!!! Cc @AngelNyigu_aa #MAKULUSA by @rayvanny ft @djmaphorisa & @Just_buckz VIDEO link in @rayvanny BIO

Chanzo: millardayo.com