Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAIPENDA:Str8uplive walivyoifanya cover ya wimbo wa Joeboy "Baby"

Jjjjj 1 660x400 UTAIPENDA:Str8uplive walivyoifanya cover ya wimbo wa Joeboy "Baby"

Fri, 14 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Kama utakuwa unakumbuka siku kadhaa nilikusogezea habari kuhusu kundi jipya linaundwa na vijana zaidi ya saba ambao lengo lao ni kuhakikisha muziki wa bendi unafika kimataifa, sasa leo ameachia video yao ikiwaonesha wameifanya cover ya wimbo wa msanii wa Nigeria Joeboy uitwao ‘Baby’.

Kama utakuwa unakumbuka siku kadhaa nilikusogezea habari kuhusu kundi jipya linaundwa na vijana zaidi ya saba ambao lengo lao ni kuhakikisha muziki wa bendi unafika kimataifa, sasa leo ameachia video yao ikiwaonesha wameifanya cover ya wimbo wa msanii wa Nigeria Joeboy uitwao ‘Baby’. Unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa namna walivyotumia vyombo vya ala za muziki kuifanya cover ya Joeboy uitwao Baby

Chanzo: millardayo.com