Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAIPENDA:Ayo TV ilivyofika kwenye kambi ya Bongo Star Search Palm Village Mikocheni DSM

CVCV 660x400 UTAIPENDA:Ayo TV ilivyofika kwenye kambi ya Bongo Star Search Palm Village Mikocheni DSM

Wed, 3 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

AyoTV na Millardayo.com imetembelea kambi ya Washiriki wa BSS msimu wa kumi na moja, Kambi iliyowekwa katika Apartment za Palm Village zilizopo Mikocheni kwa Warioba.Na hii ni kuelekea fainali ya mashindano hayo inayotarajiwa kufanyika siku ya kesho Ijumaa January 29 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza.

AyoTV na Millardayo.com imetembelea kambi ya Washiriki wa BSS msimu wa kumi na moja, Kambi iliyowekwa katika Apartment za Palm Village zilizopo Mikocheni kwa Warioba.Na hii ni kuelekea fainali ya mashindano hayo inayotarajiwa kufanyika siku ya kesho Ijumaa January 29 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza. Hii ndiyo hali halisi ya maisha wanayoishi washiriki wa BSS katika hizi nyumba za Palm Village na kuhusu maandalizi jionee mwenyewe

Chanzo: millardayo.com