Menu ›
Burudani
Mon, 30 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Utafiti unaonyesha kuwa wanaume hutumia masaa 7 kwa mwaka kukaa chooni kwa ajili ya kutafuta amani na utulivu.
Utafiti unaonyesha kuwa wanaume hutumia masaa 7 kwa mwaka kukaa chooni kwa ajili ya kutafuta amani na utulivu. Watafiti mbalimbali waliwahoji zaidi ya Wanaume 1000 na kugundua kundi kubwa la Wanaume hutumia Maeneo ya falagha kama Choo kwa ajili ya kuepuka kelele mbalimbali na kutumia Simu zao bila kusumbuliwa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live