Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyler The Creator anunua mjengo wa Bil 30.5

 Tyler The Creator Anunua Mjengo Wa Bil 30.5 Tyler The Creator anunua mjengo wa Bil 30.5

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Kutoka Marekani Tyler The Creator, ameonesha jeuri ya fedha kwa kununua jumba la kifahari kwa kiasi cha (Dola 13M) sawa na takribani Tsh. Bilioni 30.5.

Rapa Kutoka Marekani Tyler The Creator, ameonesha jeuri ya fedha kwa kununua jumba la kifahari kwa kiasi cha (Dola 13M) sawa na takribani Tsh. Bilioni 30.5. Jumba hilo lililopo huko Bel-Air lina jumla ya mabafu 6, vyumba vya kulala vitano pamoja na maeneo mengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live