Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyler Perry mbioni kuinunua BET

Tyler Perry Amazon Studios Deal 750x469 Mwigizaji na Muongozaji wa filamu nchini Marekani Tyler Perry

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji na Muongozaji wa filamu nchini Marekani Tyler Perry yupo kwenye mazungumzo na Kampuni ya Paramount Global kwa ajili ya kununua hisa nyingi (majority stake) za Kampuni ya BET ambapo ndani yake kuna vituo kama BET, VH1 na huduma za BET+

Mwigizaji na Muongozaji wa filamu nchini Marekani Tyler Perry yupo kwenye mazungumzo na Kampuni ya Paramount Global kwa ajili ya kununua hisa nyingi (majority stake) za Kampuni ya BET ambapo ndani yake kuna vituo kama BET, VH1 na huduma za BET+ Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa The Hollywood Reporter kwamba, Perry ambaye ni Mshirika wa muda mrefu Kibiashara na Paramount, yupo kwenye mazungumzo hayo na kama dili hilo likikamilika basi atakuwa mmiliki wa Kampuni hiyo ambayo inarusha vipindi vyake vingi tu kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live