Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla na gauni la mchanga kwenye Met Gala

TYLA MSZ Tyla na gauni la mchanga kwenye Met Gala

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Tyla amehudhuria kwenye maonesho makubwa ya mitindo Duniani #MetGala2024 kwa mara ya kwanza akiwa amevalia Gauni la kubana ngozi lililotengenezwa kwa mchanga lililobuniwa na Balmain.

Mwanamuziki Tyla amehudhuria kwenye maonesho makubwa ya mitindo Duniani #MetGala2024 kwa mara ya kwanza akiwa amevalia Gauni la kubana ngozi lililotengenezwa kwa mchanga lililobuniwa na Balmain. "Nimevaa mchanga, kimsingi, mchanga wa wakati (Sand of Time) Kwa kweli tulitaka kitu nje ya boksi kwa mwaka huu, Inashangaza, ninafurahi sana kuingia ndani na kuona picha zote ninaporudi nyumbani, nimependa hili vazi na jinsi kila kitu kilivyotokea," alisema Tyla.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live