Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyla anavyomkubali Michael Jackson

Michael Jackson Tyla Tyla anavyomkubali Michael Jackson

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hitmaker wa "Water" Tyla kwenye interview yake ya hivi karibuni kwa mtazamo wake ametaja wanamuziki bora watano wa muda wote ulimwenguni.

Katika orodha hiyo amemtaja marehemu Michael Jackson, Rihanna, Drake, Britney Spears na Wizkid.

Vipi kwa upande wako, wanamuziki watano wa muda wote ni kina nani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live